January 18, 2018



MAKOCHA WAWILI WAPYA WA SIMBA, KOCHA MKUU, PIERRE LECHANTRE (katika) NA MSAIDIZI WAKE, MOHAMED AYMEN HABIBI  (kulia). BAADA YA KUKUTANA NA KUFANYA NA MAHOJIANO YA KWANZA KABISA NA GAZETI LA CHAMPIONI LILILOWAKILISHWA NA SALEH ALLY JEMBE.


Kama uongozi wa Simba utakuwa umemalizana na Kocha Mfaransa Pierre Lechantre, basi leo atafika kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam, kuishuhudia Simba ikiiva Singida United.


Lechantre ambaye amehojiwa kwa mara ya kwanza nchini na gazeti hilo pamoja na blog ya SALEHJEMBE amekuja pia na kocha wa viungo Mmorocco Mohammed Aymen Habibi.

Habibi naye anatarajia kuunga na bosi wake kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam kuishuhudia mechi hiyo ngumu.

Kocha huyo mzoefu ataanza kazi mara moja na atasaidiwa na kocha msaidizi wa sasa Masoud Djuma ambae alikuwa akikaimu nafasi hiyo.

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic