January 18, 2018

MPIRA UMEKWISHAAAA

DAKIKA 3 ZA NYONGEZA
Dk 89, Kwasi anachonga kona fupi kwa Kichuya lakini mpra unaishia miguuni mwa mabeki wa Singida
Dk  88, Kichuya nusura afunge bao la tano baada ya Manyika na beki wake kujichanganya. Kona....
SUB Dk 88, Simba wanamtoa Kotei na nafasi yake inachukuliwa na Mohamed Ibrahim
Dk 86, Okwi anatoka vizuri kabisa lakini mwamuzi anasema alishaotea


Dk 84 Kotei yuko chini baada ya kugongwa na Mudathiri
Dk 82, Batambuzi anajaribu kuingia katika eneo la hatari lakini Kotei anaondosha
GOOOOOOOOOOO Dk 81, Okwi anapokea pasi ndefu ya Ndemla na kuandila bao safi la tatu kwa Simba na la 10 kwake msimu huu
SUB Dk 79 Anatoka Kutinyu na nafasi yake inachukuliwa na Kagoma upande wa Singida
GOOOOOOOOO Dk 75, pasi nzuri ya Kichuya, Okwi anaingia na kuachia mkwaju wa chinichini na kuandika bao la tatu kwa Simba
DK 74, Shiza Kichuya peke yake akiwa amebaki na goli, baada ya pasi nzuri ya Okwi anatoa mpira njeeeee
Dk 71 Batambuzi anajaribu vizuri kabisa hapa kutoka mbali Manula anauona
Dk 69, Okwi anajaribu kuingia lakini Singida wako makini hapa


SUB Dk 65 Emmanuel Okwi anaingia kuchukua nafasi ya Muzamiru Yassin
Dk 64 Mundia akiwa katika nagasi nzuri anapaisha juuuuu
Dk 64, Manyika anatoka vizuri na kumuwahi Kichuya vizuri kabisa
SUB Dk 62 Salum Chuku anaingia kuchukua nafasi ya Kigi Makasi upande wa Singida
Dk 59, Kambale tena anapokea pasi ya Kutinyu amaachia mkwaju mkali kabisa lakini Manula anadaka tena
Dk  58, Simba wanafanya utani, Batambuzi anaingia na kutoa krosi kwa Kambale anaachia mkwaju mkali lakini Manula anadaka kama nyani


KADI 54 kadi ya njano inakwenda kwa Rusheshangoga wa Singida United kwa kucheza kindava
Dk 51, Manula anafanya kazi ya ziada, anatoka na kuokoa vizuri dhidi ya Lubinda. Yuko chini akitibiwa
Dk 50, krosi ya Kutinyu, Kambale anachupa na kupiga kichwa safi kabisa, goal kick
Dk 48, pasi nzuri tena ya Ndemla, Kichuya anauwahi na kuachia mkwaju mkuuuubwaaa
Dk  45, mpira umeanza na Simba wamefika katika eneo Kichuya anachia mkwaju mdhaifu

MAPUMZIKO
DAKIKA 2 ZA NYONGEZA

Dk  44, Kaseke akiwa pembeni anajaribu shuti kali hapa goal kick
Dk 43, Kambale anajaribu mkwaju mkali hapa, anaokoa Mkude
Dk 41, Kaseke anajaribu kuachia mkwaju mkali hapa, Manula anadaka kwa ulaini kabisa
Dk 39, mpira unaonekana kuchezwa katikati ya uwanja zaidi na Simba bado wanazidi kutawala huku wakikaba kwa nguvu sana
Dk 35 Kichuya anaingia vizuri, anawekwa chini hapa, mwamuzi anasema twende mbele


Dk 34, krosi safi ya Kichuya Bocco anaruka na kuachia mkwaju karibu goal kick
Dk 33, Singida wanapata kona baada ya Kotei kuutoa nje mpira. Inachongwa wanaokoa na kwua goal kick
Dk 26, Simba wanagongeana vizuri tena, Ndemla anaingia vizuri lakini Manyika anatokea kwa ustadi mkubwa na kudaka
GOOOOOO Dk 25, Ndemla anatoa pasi safi kwa Kwasi, anaweka kifuani na kuandika bao la pili kwa Smba
Dk 23, Bocco anaingia vizuri, anaachia mkwaju lakini Manyika anaokoa na kuwa kona
SUB Dk 22, Kazimoto anatoka nafasi yake anaingia Said Ndemla


Dk 20, Singida wanaendelea kusukuma mashambulizi lakini Simba wako makini
Dk 17, Gyan anaingia vizuri na kuachia mkwaju, unatoka sentimeta chache kwenye lango la Singida
Dk16 Singida wanagongeana vizuri na Kutinyu anaachia mkwaju mkali kabisa hapa, Asante Kwasi anaokoa
Dk 13, Simba inapata kona ya kwnaza baada ya kumtoka beki Singida aliyewahi na kuutoa. Inachongwa lakini haina kitu
Dk 12, Gyan yuko chini baada ya kupigwa teke na Makasi
wakati akijaribu kuuwahi mpira


Dk 10, Bocco anautokea mpira vizuri mabeki Singida wakidhani ameotea
Dk 8 sasa, Simba wanaonekana kupadhibiti katikati ya uwanja zaidi na kuwapa wakati mgumu viungo wa Singida akiwemo Kutinyu
Dk 5 Simba wanashambulia tena, Manyika anatoka anachelewa Batambuzi anawahi na kuokoa
GOOOOOOOO Dk 3 Kichuya anaruka na kupiga tik tak mbele ya Rushenshagoga na kuandika bao la kwanza kwa Simba
Dk 3, Simba wanapata nje karibu na n alango la Singida
Dk 1, mechi imeanza kwa kasi na Singida wanakuwa wa kwanza kufika katika goli la Simba na mpira uliopigwa na Kambale unakuwa goal kick


KIKOSI CHA SIMBA DHIDI YA SINGIDA LEO;
1. Aishi Manula
2. Nicholas Gyan
3. Erasto Nyoni
4. Asante Kwasi
5. Juuko Murshid
6. Jonas Mkude
7. James Kotei
8. Mzamiru Yasin
9. Mwinyi Kazimoto
10. John Boco
11. Shiza Kichuya

WACHEZAJI WA AKIBA
-Emanuel Mseja
-Said Hamis
-Mohamed Ibrahim
-Mothes Kitandu
-Emanuel Okwi
-Mohamed Husen
-Yusufu Mlipili



KIKOSI CHA SINGIDA DHIDI YA SIMBA LEO…

1. Peter Manyika Jr

2. Michael Rusheshangoga

3. Shafiq Batambuze

4. Kennedy Wilson

5. Maliki Antiri

6. Mudathiri Yahya

7. Deus Kaseke

8. Tafadzwa Kutinyu

9. Lubinda Mundia

10. Kambale Gentil

11. Kigi Makasi



SUB:

Ally Mustapha

Miraj Adam

Salum Chuku

Salum Kipaga

Kenny Ally

Elimwisia Sumbi

Yusuph Kagoma

1 COMMENTS:

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic