January 28, 2018


Simba imeendelea ushindi mfululizo kwa kuitwanga Majimaji ya Songea kwa mabao 4-0.

Simba inaonekana iko katika fomu kwani katika mechi hiyo ilikuwa na nafasi ya kushinda hata mabao matano au zaidi.

Angalia baadhi ya picha mechi hiyo ilivyokuwa kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam.









0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic