January 18, 2018



Mshambuliaji wa Simba, Emmanuel Okwi amefikisha mabao 10 na kuamsha mbio za ufungaji mabao.

Awali Okwi alikwama akiwa na mabao nane kwa kipindi kirefu hadi mshambuliaji wa Mbao FC, Habibu Kiyombo akafikisha mabao saba.


Lakini leo Okwi amefunga mabao mawili wakati Simba ikiimaliza Singida United kwa mabao 4-0 katika mechi ya Ligi Kuu Bara kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam.

1 COMMENTS:

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic