January 29, 2018


Kiungo wa Cardiff, Joey Barton ni kama mwendawazimu, maana amesema alimrukia kwa nguvu Leroy Sane wa Man City kwa kuwa mashabiki wanapenda mchezo wa mapambano.

Kocha Pep Guardiola alilalamika baada ya Burton kumrukia vibaya Sane kwamba alitakiwa kuchukuliwa hatua zaidi.

Lakini Barton ambaye ni maarufu kwa ukorofi amejibu mapigo akisisitiza soka la England si Ufaransa au Italia.


Hata hivyo, wadau wengi wameonekana kumshambulia Barton kwamba amekuwa na roho mbaya ya kuwaumiza wenzake kwa makusudi.

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic