January 19, 2018


Kikosi cha Simba kimetua salama mjini Bukoba katika mechi yao ya Ligi Kuu Bara. Kikosi hicho kilisafiri kwa ndege hadi Bukoba kupitia Mwanza.

Simba imetua mjini humo kujiandaa na mechi dhidi ya Kagera Sugar itakayopigwa Jumatatu.


Mechi hiyo kwenye Uwanja wa Kaitaba mjini humo inasubiriwa kwa hamu kwa kuwa msimu uliopita, ilionekana Kagera Sugar kama ndiyo iliwakosesha Simba ubingwa.



0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic