January 26, 2018



Mshambuliaji kinda wa Man City, Raheem Sterling ameamua kununua jimbo la kifahari nchini Hispania.

Jumba hilo liko katika eneo la Marbella nchini Hispania na Sterling ameamua kununua jumba hilo la kifahari lenye thamani ya pauni milioni 5 kwa ajili ya kupumzikia tu.
Imeelezwa kwa mujibu wa The Sun kwamba bado hajanunua jumba hilo ingawa ameishachukua uamuzi huo.

Sterling atakwenda kuhakikisha kuhusiana na jumba hilo atakapopata mapumziko mafupi kabla ya kumwaga mamilioni hayo ya pauni.







0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic