January 1, 2018


Difenda Virgil van Dijk rasmi ameanza mazoezi Liverpool akiwa amevaa kwa mara ya kwanza jezi ya klabu hiyo mazoezini.

Van Dijk amesajiliwa kutoka Southampton kwa kitika kikubwa cha pauni milioni 75 na kusababisha gumzo kubwa.


Beki huyo mwenye umri wa miaka 26, ameanza mazoezi ya fitnesi akiwa na kitengo cha fitnesi cha benchi la Liverpool ambacho lazima kijiridhishe kabla ya kumkabidhi kwa Kocha Jurgen Klopp ili amtumie.





0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic