January 1, 2018



Mchezaji wa timu ya watoto ya Paris Saint-Germain, Bitshiabu El Chadaille amezua mjadala mkubwa kuhusiana na umbo lake.

El Chadaille ana umri wa miaka 12 lakini anaonekana kama ana miaka 15au 16, jambo ambalo timu zinazokutana na PSG zimekuwa zikipinga.

Lakini klabu ya PSG, imesema imepitia njia zote za kitalaamu na kusthibitisha El Chadaille ambaye anacheza nafasi ya beki kuwa ana miaka 12.


Mchezaji huyo amekuwa kivutio katika michuano mingi ya watoto ambayo PSG wanashiriki na hiyo inasababishwa kutokana na umbo lake.

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic