January 30, 2018




Kikosi cha Yanga kimefika salama mjini Nbeya tayari kwa mechi yao ya Kombe la Shirikisho dhidi ya Ihefu, leo.

Yanga imeondoka leo alfajiri kwenda Mbeya tayari kwa mechi hiyo ya mzunguko wa tatu wa Kombe la Shirikisho linalodhaminiwa na Azam Sports.



Kikosi cha Yanga kikiongozwa na Kocha George Lwandamina, kimetua Mbeya kwa kutumia ndege ya Fast Jet tayari kwa mchezo huo leo.

Mechi inatarakiwa kupigwa kwenye Uwanja wa Jamhuri mjini Mbeya na tayari Ihefu wamejitamba kuwa pamoja na kwamba ni timu ya daraja la chini, "wataitoa shoo Yanga".


0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic