AC MILAN KUKIPIGA NA ARSENAL HATUA YA 16 BORA YA UEFA EUROPA LEAGUE
Hatua ya 16 bora katika EUEFA Europa League imeshapangwa baada ya timu 16 kufuzu kutokana na mechi zilizochezwa wiki hii.
Katika ratiba, mechi inayosubiriwa kwa hamu na mashabiki wa soka duniani, ni AC Milan ambayo itakuwa mwenyeji katika mchezo wa kwanza dhidi ya Arsenal.
Ratiba kamili hii hapa
0 COMMENTS:
Post a Comment