February 15, 2018


Kiungo wa zamani wa Simba na Yanga, Athumani Iddi ‘Chuji’ atahojiwa leo katika kipindi maarufu cha michezo katika runinga ya mtandaoni cha Spoti Hausi.
Chuji anarejea Ligi Kuu Bara baada ya kusaidia kuipadisha Coastal Union ya Tanga.
Chuji ambaye sasa anachezea Coastal Union atahojiwa na kipindi hicho na mahojiano yake kurushwa moja kwa moja mtandaoni kupitia Youtube.

Kipindi hicho kitaanza saa 10 na watazamaji wanaweza kuangalia kupitia simu zao za mkononi.


Kikubwa wanachotakiwa kufanya ni kuingia kwenye mtandao wa Youtube au kudownload application ya Global Publishers itakayowawezesha kuangalia kwa urahisi.

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic