Mbrazil, Roberto Firmino, amechukua tuzo ya kwanza ya mchezaji bora katika kikosi cha Liverpool kwa mwezi huu wa January 2018.
Hii ni mara ya pili sasa Firmino anatwaa tuzo hiyo tangu aichukue mara ya mwisho January 2016.
Firmino amebeba tuzo hiyo baada ya kufunga mabao matatu katika mechi 6 zilizopita na kumpiku Mohamed Salah aliyechukua mwezi December 2017.
Na hii ni orodha ya wachezaji waliochukua tuzo hizo miezi iliyopita.
August: Mohamed Salah
September: Mohamed Salah
October: Dejan Lovren
November: Mohamed Salah
December: Mohamed Salah
January: Roberto Firmino
0 COMMENTS:
Post a Comment