Kiungo mchezeshaji wa Simba atakwenda nchini India kwa ajili ya matibabu.
Raia huyo wa Rwanda, amekuwa akisumbuliwa na goti kwa muda mrefu lililomlazimu kukaa nje ya uwanja kwa muda mrefu.
Uongozi wa Simba umesema Niyonzima atapatiwa matibabu nchini India ikiwa ni sehemu ya kuhakikisha anarejea uwanjani.
Msemaji wa Simba, Haji Manara amesema kila kitu kipo vizuri na Niyonzima
0 COMMENTS:
Post a Comment