February 8, 2018


Kipa bora wa michuano ya Cosafa, Said Mohamed maarufu kama Nduda, leo ameanza rasmi mazoezi na wenzake.

Nduda ameanza mazoezi na kikosi cha Simba ambacho kilikuwa kinajifua leo kwenye Uwanja wa Boko Veterans.

Nduda hajawahi kuichezea Simba katika mechi za mashindano tokea ajiunge nayo msimu huu baada ya kuumia.

Alipelekwa nchini India ambako alifanyiwa upasuaji, aliporejea nchini alipata mapumziko kabla ya kurejea mazoezi akifanya mazoezi binafsi.




0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic