Shirikisho la Soka Tanzania, TFF limesema Jonesia Lukyaa atacheza mechi ya Simba dhidi ya Azam FC, kesho.
Awali kulikuwa na taarifa za mwamuzi huyo kubadilishwa, lakini TFF imesisitiza atachezesha yeye na kusaidiana na Hellen Mduma na Soud Lilla.
Maana yake, mechi hiyo kubwa ya Azam dhidi ya Simba itakayokuwa nyumbani, itachezeshwa na kina mama wawili.
0 COMMENTS:
Post a Comment