March 2, 2018


Barcelona imebanwa mbavu katika harakati zake za kuendelea kujivunia alama za kukalia kilele cha msimamo wa Ligi Kuu Spain, baada ya kulazimishwa sare ya bao 1-1 dhidi ya Las palmas.

Barcelona ambao walikuwa ugenini, walianza kupata bao la kwanza kwa njia ya mpira wa faulo kupitia Lionel Messi (21'), na baadaye Las Palmas wakasawazisha kwa njia ya tuta kupitia kwa Jonathan Calleri (48').

Licha ya sare hiyo, Barcelona bado wamekalia usukani wa ligi kwa alama 66 mpaka sasa


2 COMMENTS:

  1. Tatizo zidane Ni mtu wa ajabu sana leo timu ingekua katika nafasi nzuri sana,sijui kwanini hampendi Ronaldo.

    ReplyDelete
  2. Kumbe hata ulaya Kuna upumbavu kama bongo dah,hatimae Madrid hali mbaya ndio basi tena.

    ReplyDelete

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic