March 13, 2018


Kiungo wa Manchester United, Michael Carrick, ametangaza kustaafu soka baada ya msimu huu kumalizika.

Carrick alijiunga na Manchester United mwaka 2006 akitokea Tottenham Hotspurs kwa ada ya uhamisho wa pauni milioni 18 huku akicheza michezo 468.

"Kuna wakati mwili wako unakweleza, sasa ni wakati mwafaka wa kuupumzisha. Hapa ndiyo nilipo" alisema.

Kuafuatia kauli hiyo, Kocha Jose Mourinho, amesema atafurahi kuona Carrick akistaafu soka kisha aendelee kusalia ndani ya timu hiyo, inawezekana akapewa majukumu mengine ya kazi.

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic