HABARI NJEMA, TOWNSHIP ROLLERS DHIDI YA YANGA KWENDA MBASHARA LEO KUPITIA AZAM TV
Mechi ya Ligi ya Mabingwa Afrika kati ya Township Rollers FC dhidi ya Yanga, itarushwa mbashara na Azam TV jioni ya leo.
Azam TV wamethibitisha kuonesha mechi hiyo itakayoanza majira ya 10:45 jioni kwa saa za Afrika Mashariki








0 COMMENTS:
Post a Comment