Kikosi cha Simba kitakachoanza dhidi ya Al Masry SC katika mchezo wa Kombe la Shirikisho Africa
1. Aishi Manula
2. Shomary Kapombe
3. Asante Kwasi
4. Yusuph Mlipili
5. Erasto Nyoni
6. James Kotei
7. Shiza Kichuya
8. Jonas Mkude
9. John Bocco
10. Emmanuel Okwi
11. Nicholas Gyan
2. Shomary Kapombe
3. Asante Kwasi
4. Yusuph Mlipili
5. Erasto Nyoni
6. James Kotei
7. Shiza Kichuya
8. Jonas Mkude
9. John Bocco
10. Emmanuel Okwi
11. Nicholas Gyan
Kikosi cha akiba
12. Said Mohamed Nduda
13. Mohamed Hussein
14. Juuko Murshid
15. Said Ndemla
16. Mwinyi Kazimoto
17. Mzamiru Yassin
18. Laudit Mavugo
Mechi itaanza saa 12 kamili jioni ya leo.
Sidhan kama ni chenyewe kwanza utakuwa umekadiria..tuuu.juuko anaanza wakati huo huo yupo sub sijui unamanisha nn.mavugo kwa jina lake sdhan kama lipo caf.nadhan subiri muda ufike utapata list na si kutudanga
ReplyDeletenadhani sijakupata vizuri ama wamerekebisha angalizo lako ...hii ya Mavugo sina hakika ila nakumbuka wakati majina yakienda na yeye alikua harakati za kukatwa ama kuhamia Gor mahia ...in all kila la heri simba na hongera Nduda kupona, get well soon Niyonzima na Mbonde
DeleteMakocha ndio wapangaji weisti lakini nilitegemea Kumuona Juko Murshidi kucheza beki leo anauzoefu na miezi michache iliyopita nilimshuhudia Juko akimdhibiti Mohamedi Slah vizuri wakati Timu ya Taifa Uganda ikicheza na Egypt. Mtu kama Bance ingemkuta shughuli pevu kutoka kwa Juko leo. Erasto Nyoni si Mbaya ila huwa na matatizo ya kujisahau au tabia ya kufikiria fulani atafanya badala ya kuchukua maamuzi haraka. Tunatarajia atajirekebisha leo.
ReplyDelete