March 13, 2018


Kuelekea harakati za ubingwa wa Ligi Kuu Bara msimu huu wa 2017/18, hizi ni mechi 10 zilizosalia kwa Simba kumaliza mzunguko huu wa pili.

Mtibwa Sugar (Ugenini)
Njombe Mji FC (Ugenini)
Yanga (Nyumbani)
Mbeya City FC (Nyumbani)
Tanzania Prisons FC (Nyumbani)
Lipuli FC (Ugenini)
Ndanda FC (Nyumbani)
Singida United FC (Ugenini)
Kagera Sugar (Nyumbani) na
Majimaji FC (Ugenini)

1 COMMENTS:

  1. Simba ile iliyocheza na AL Masry kama wachezaji wangecheza vile kwenye mechi zao za ligi zilizobakia, timu hizo zote 10 hapo juu zingepigwa goli 2 hadi wengine 5. Simba ile sijawahi kuona hivi karibuni labda ile miaka ya 1973 na 1974 tuliwahi kuwa na timu ya Simba kali vile.

    ReplyDelete

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic