Kikosi cha Simba kimetua jijini Cairo, Misri tayari kwa safari ya kurejea jijini Dar es Salaam.
Simba imewasili Cairo ikitokea Port Said ambako walicheza mechi ya Kombe la Shirikisho dhidi ya Al Masry.
Mechi hiyo iliisha kwa sare ya bila mabao na Simba kung'olewa kutokana na sare ya 2-2 jijini Dar.
Simba itaanza safari usiku kurejea Dar es Salaam kupitia Addis Ababa, Ethiopia.








0 COMMENTS:
Post a Comment