March 21, 2018


Ronaldo de Assis Moreira, ama kwa jina maarufu 'Ronaldhinho Gaucho', alizaliwa terehe 21 Machi 1980 kutoka Porto Alegre, Rio Grande do Sul, Brazil.

Nyota huyu aliwahi kuzichezea klabu za FC. Barcelona, AC Milan ya Italy, Flamengo FC ya Brazil na nyinginezo huku pia akiitumikia timu yake ya Taifa ya Brazil.

Kwa sasa mchezaji huyu ni Balozi wa soka nchini Spain kwenye timu ya Barcelona

Nimekuwekea video hii ujikumbushe namna ufundi wake ulivyokuwa kiwanjani.

 

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic