(VIDEO) SIMBA MPO? TAZAMA TAMBWE NA KAMUSOKO WAKIJIFUA VIKALI HAPA Video ikwaonesha Kiungo wa Yanga, Thaban Kamusoko na Mshambuliaji, Amis Tambwe wakijifua kimazoezi. Wachezaji hawa hawajawa na msimu mzuri mwaka huu kutokana na kusumbuliwa na majeruhi Tazama video namna walivyokuwa wanajifua hapa
Acha upuuzi Kamusoko ndiyo ila mwingine siyo Tambwe. Kadanganye vipofu๐๐๐
ReplyDelete