April 1, 2018


Mwingereza Anthony Joshua amefikisha mikanda mitatu ya uzito wa juu baada ya kumtwanga Joseph Parker kwa point.

Pambano la wakali hao wawili lilikuwa la kuvutia na kusisimua likiwa na ushindani kuanzia mwanzo hadi mwisho.

Hata hivyo Joshua alifanikiwa kuongoza kwa raundi na Paker raia wa New Zealand mara kadhaa hasa raundi ya sita alijitahidi kujitutumua.


Mashabiki 80,000 walikuwa ukumbini wakati Joshua akishinda taji la WBO na sasa kuwa na matatu jumla maana anao yale ya IBF na WBA.







0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic