Kama mambo yataenda safi, Haji Manara anaweza akabaki katika nafasi yake Simba hadi mwaka 2040.
Msemaji huyo wa Simba, amesema amebaki Simba kwa miaka minne sasa akiamini anafanya kazi yake vizuri.
“Kuendelea kubaki kwa miaka minne kama msemaji wa klabu si jambo dogo. Lazima ujifuze hilo na ikiwezekana hadi 2040 nitakuwa hapa,” alisema
0 COMMENTS:
Post a Comment