April 9, 2018



Kikosi cha Simba kitakuwa kibaruani leo bila wachezaji wake muhimu walio na adhabu ya kutumikia kadi tatu za njano.

Wachezaji hao ni Mabeki Juuko Murushid, Erasto Nyoni pamoja na Kiungo James Kotei. Wachezaji hao watakosekana kwenye mchezo wa leo wakilazimika kuisubiri Tanzania Prisons.

Mbali na kukosekana kwa wachezaji hao, Simba itakuwa inamtumia Kiungo wake Jonas Mkude ambaye amepona majeraha yake ya kifundo cha mguu.

Mkude aliumia wakati kikosi hicho kikifanya maandalizi ya kuelekea mchezo wa ligi dhidi ya Njombe Mji wakati kikiwa jijini Dar es Salaam.

4 COMMENTS:

  1. Mtibwa tengua kauli,msije mkaja kutafutana kwa tochi humu ndani?.

    ReplyDelete
  2. delovelo`e milodoven`to minuntu

    ReplyDelete
  3. Game ya ubingwa kwa Simba yaani ni fainali wanatakiwa kushinda hii mechi kwani ni miongoni mwa mechi zilizowakosesha ubingwa mwaka jana. Point tatu za leo ni muhimu sana kwa Simba kuliko zile za game na Yanga. Mtibwa sio timu ya kubeza kwani halmanusura kuiadhibu Simba pale pale Daresalam. Kwa hivyo kama kweli Simba na wachezaji wake wanautafuta ubingwa msimu huu hizi ni mechi za kuthibitisha kuwa wao anastahili kuwa mabingwa. Ni mechi za jihadi kuhakikisha wanavuna point tatu ili kufikia malengo .

    ReplyDelete
  4. Formation hii sio ya mchezo,KICHUYA+BOKO+OKWIIIIIIIIIIIIIIIIIIII,nilisema hapa kabla ya game.

    ReplyDelete

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic