NEW VIDEO: HARMONIZE FT DIAMOND PLATNUMZ - KWANGWARU Msanii kutoka lebo ya Wasafi Classic Baby (WCB), Harmonize, leo ametuletea video yake mpya aliyomshirikisha Diamond Platnumz, inajulikana kwa jina la 'Kwangwaru'. Unaweza ukaitazama hapa
0 COMMENTS:
Post a Comment