April 8, 2018



Ligi Kuu Soka Tanzania Bara inaendelea tena Jmapili ya leo kwa viwanja vinne kuwaka moto.

Mechi kubwa inayosuburiwa mjni Mbeya katika Uwanja wa Sokoine ni Mbeya City watakaokuwa wenyeji watakuwa wanaikaribisha matajiri wa jiji la Dar es Salaam, Azam FC, mechi itaanza saa 10 kamili jioni.

Mechi zingine zitakazopigwa leo ni:-

Stand United vs Njombe Mji FC - Kambarage Stadium (Saa 10 jioni)

Ndanda FC vs Kagera Sugar - Nangwanda Sijaona (Saa 10 jioni)

Ruvu Shooting vs Tanzania Prisons - Uwanja wa Mabatini (Saa 10 jioni)

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic