April 19, 2018



Droo ya makundi kwa timu zitakazokutana hatua ya makundi ya Kombe la Shirikisho Afrika inatarajia kufanyika Jumamosi ya Aprili 21 2018 wiki hii.

Tayari jumla ya timu 16 zimeshatinga kuingia hatua hiyo baada ya michezo kupigwa jana.

Yanga kutoka Tanzania ni timu pekee inayotuwakilisha kimataifa nayo imetinga hatua hiyo baada ya kuiondoa Wolaita Dicha SC kutoka Ethiopia kwa idadi ya mabao 2-1.

Timu zilizofuzu kuingia hatua hiyo ni zifuatazo

1. Williamsville (Ivory Coast)
2. Asec Mimosas (Ivory Coast)
3. RajaCasablanca (Morocco)
4. Berkane (Morocco)
5. USM Alger (Algeria)
6. Al Masry (Egypy)
7. Carabrazavile (Congo)
8. AS Vita (DRC)
9. Young Africans SC (Tanzania)
10. GorMahia FC (Kenya)
11. Rayon Sports (Rwanda)
12. Al Hilal(Sudane)
13. Djoliba (Mali)
14. Aduana Stars (Ghana)
15. Enyimba (Nigeria)
16. UD Songo (Mozambique)

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic