May 1, 2018



Kikosi cha Simba kinatarajia tena kambini kesho kwa ajili ya maandalizi ya mchezo wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Ndanda FC.

Simba itakuwa inashuka kucheza na Ndanda Jumatano ya wiki hii katika Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam.

Kwa mujibu wa Afisa Habari wa Simba, Haji Manara, amesema kuwa kikosi kimepewa mapumziko ya siku kadhaa kabla ya kurejea kambini kwa ajili ya Ndanda.

Wekundu hao wa Msimbazi watakuwa wanarejea kambini wakiwa na kumbukumbu nzuri ya ushindi dhidi ya Yanga kwenye mchezo uliopita.



4 COMMENTS:

  1. Kwa hiyo wanaingia kambini kesho kwaajili ya mechi ya kesho? Poor you. Kwanini mnatoa habari bila kuhariri?

    ReplyDelete
  2. Very poor sijawahi ona,wanaingia kambini kesho ambayo tayari ni Jumatano kwa mechi ya Jumatano wiki hii ambayo ni kesho hiyo hiyo,ni kichekesho kweli kweli.

    ReplyDelete
  3. Simba inacheza na Ndanda Jumapili hii (06052018)

    ReplyDelete
  4. Smba vs Ndanda (06052018) Singda vs Simba (12052018) Simba vs Kagera Sugar (19052018) Simba vs Majimaji (26052018)

    ReplyDelete

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic