May 6, 2018



Hali ya Kocha wa zamani wa Man United, Alex Ferguson si nzuri na ameshafanyiwa upasuaji kutokana na kuwa na matatizo kwenye ubongo wake.


Ferguson amegundulika kuwa na ugonjwa ujulikanao kama haemorrhage na anatakiwa kufanyiwa upasuaji.

Kocha huyo mstaafu mwenye umri wa miaka 76, ndiye kocha mwenye mafanikio zaidi Uingereza katika ngazi ya klabu.


Hivi karibuni, Ferguson alijitokeza na kumpa zawadi mpinzani wake wa siku nyingi Arsene Wenger wakati Arsenal ikiivaa Man United kwenye Uwanja wake wa nyumbani wa Old Trafford.

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic