May 5, 2018



Ligi Kuu Tanzania Bara imeendelea tena Jumamosi ya leo kwa michezo miwili kupigwa katika viwanja tofauti.

Singida United iliyokuwa katika Uwanja wake wa nyumbani imefanikiwa kuibuka na ushindi mnene wa mabao 4-0 dhidi ya Njombe Mji ya Jombe.

Mabao hayo yametiwa kimiani na Kambale Salita dakika ya 42, Miraji Adam 60', Mundia 62' na Nizar Khalfan katika dakika ya 90.

Mchezo mwingine uliopigwa Uwanja wa Sokoine jijini Mbeya, umemalizika kwa wenyeji kuibuka na ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Lipuli FC likifungwa na Mpalile mnamo dakika ya 9.

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic