May 4, 2018

Marcel Kaheza wa Majimaji ameteuliwa kuwa mwanasoka bora wa Ligi Kuu Bara kwa mwezi wa Aprili.


Kaheza ambaye ni kinda aliyejiunga na Majimaji akitokea Simba, amekula shavu hilo baada ya kung’ara Aprili.

1 COMMENTS:

  1. Wachezaji makinda wengi wametokea Simba B wanachezea timu za ligi kuu ya Tanzania.Pambaneni

    ReplyDelete

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV