Hizi ni posti kadhaa za watu maarufu ambao ni mashabiki wa Simba walichokiandikia kupitia mitandao ya kijamii baada ya Simba kuutwaa rasmi ubingwa wa Ligi Kuu Bara kwa msimu wa 2017/18.
Ninachokiamini miimi hata msimu uliopita Simba alistahili kuwa bingwa. Licha ya madhaifu ya Simba hapo nyuma lakini Yanga iliekewa mazingira mazuri na ya kihila kutoka kwa viongozi wa mpira nchini waliokuwepo madarakani wakati ule aiza kutokana na upenzi wao kwa yanga au shinikizo la kimaslahi kutoka kwa Manji. Yanga siku zote ilikuwa inafurahia viporo kumchungulia Simba kakaa vipi ili itengeze mazingira ya ushindi hata kwa figisu lakini viporo hivyo mara hii vimewatumbukia nyongo haviliki.
Ubingwa haujanoga kwasababu ya mapipicha ya yanga wanasema wanawekeza nguvu kwa rayon sports naje wakipoza uomchezo watakuja na pichagani? Ya saibog,the hard way.kumbuka kinyesi hakina tofauti kwamba hiki cha tajiri nahiki cha fukara
Ninachokiamini miimi hata msimu uliopita Simba alistahili kuwa bingwa. Licha ya madhaifu ya Simba hapo nyuma lakini Yanga iliekewa mazingira mazuri na ya kihila kutoka kwa viongozi wa mpira nchini waliokuwepo madarakani wakati ule aiza kutokana na upenzi wao kwa yanga au shinikizo la kimaslahi kutoka kwa Manji. Yanga siku zote ilikuwa inafurahia viporo kumchungulia Simba kakaa vipi ili itengeze mazingira ya ushindi hata kwa figisu lakini viporo hivyo mara hii vimewatumbukia nyongo haviliki.
ReplyDeleteUbingwa haujanoga kwasababu ya mapipicha ya yanga wanasema wanawekeza nguvu kwa rayon sports naje wakipoza uomchezo watakuja na pichagani? Ya saibog,the hard way.kumbuka kinyesi hakina tofauti kwamba hiki cha tajiri nahiki cha fukara
ReplyDeletethis is THIIIIIIIIIIIIIMBAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAA BANA
ReplyDelete