May 29, 2018



Adam Salamba ameonyesha mchuma wake mpya siku moja tu baada ya kusaini mkataba wa miaka miwili na mabingwa wa Tanzania Bara, Simba.

Salamba anatokea Lipuli FC ya Iringa na aneoana akiwa na gari hiyo aina ya Toyota Crown ambayo thamani yake ni kati ya Sh milioni 13 hadi milioni 16.

3 COMMENTS:

  1. Hayo ndoa maisha kijana, kuliko ungekubali wakukope na mwisho wa siku utoke mikono mitupu.

    Protas-Iringa

    ReplyDelete
  2. sasa ucheze mpira ujitume hapa simba upite tu,kumbuka historia yako

    ReplyDelete
  3. sasa ucheze mpira ujitume hapa simba upite tu,kumbuka historia yako

    ReplyDelete

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic