May 29, 2018



Simba na Yanga zinaweza kujikuta zinakutana mwaka huu kwa mara ya tatu mfulilizo lakini safari hii ikiwa ni katika michuano ya  SportPesa Super Cup.

Michuano hiyo inafanyika jijini Nairobi, Kenya na itakutanisha timu nane kutoka Tanzania na nne za wenyeji Kenya.

Michuano ya  SportPesa Super Cup inaanza Juni 3 hadi Juni 10 na Simba wataanza Sharks ya Kenya wakati Yanga baadaye watakuwa uwanjani dhidi ya Homeboyz.

Kama kila timu itashindana, uwezekano wa kukutana ni asilimia kubwa na kila mmoja atalazimija kujiweka vizuri mapema kabisa.

2 COMMENTS:

  1. Jamani hawa watatuaibisha, bora wateuliwe Ndanda ambao wameonyesha moyo wa kujituma hadi dakika ya mwisho ya ligi.

    ReplyDelete
  2. Hahaha huyo kiongozi inabidi akapimwe tezi dume mana wana luizio na mavugo cjui nao wana kiwango cha okwi au vp!!!?

    ReplyDelete

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic