May 6, 2018



Ratiba ya mechi za Ligi Kuu bara kwa ujumla leo Jumapili ya Mei 6 2018.

Simba SC vs Ndanda FC - Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam

Stand United vs Azam FC - Uwanja wa CCM Kambarage, Shinyanga

Kagera Sugar vs Mbeya City - Uwanja wa Kaitaba, Kagera

Majimaji vs Mtibwa Sugar - Uwanja wa Majimaji, Songea

Mechi hizi zote zitaanza majira ya saa 10 kamili jioni, leo.

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic