FULL TIME
Mwamuzi anamaliza mchezo.
Dk ya 90 +4: Mchezo unaelekea kumalizika.
Dk ya 90+ 3: Simba wanaonyesha kuwa na kasi lakini hawapati bao.
Dk ya 90 +2: Simba wanamtoa Okwi anaingia Mavugo.
Dk ya 90: Zinaonyeshwa dakika nne za nyongeza.
Dk ya 87: Simba wanaendelea kutengeneza nafasi za kufunga lakini mambo ni magumu.
Dk ya 84: Inapigwa faulo kipa anapangua, Okwi anaingiza wavuni lakini anakuwa ameotea.
Dk ya 82 Rashidi Juma wa Simba anachezea faulo karibu na eneo la 18, inakuwa faulo.

Dk ya 79: Mshambuliaji John Bocco anapuliziwa filimbi, ameotea.
Dk ya 75: Kunatokea mvutano kwenye benchi la Ndanda kutokana na mabadiliko ya wachezaji. Wanalaumiana, Mchezo unaendelea.
Dk ya 70: Beki wa Ndanda, Ibra Job yupo chini, ameumia, anatibiwa.
Dk ya 69: Jonas Mkude anapiga pasi kadhaa.
Dk ya 67: Okwi anachezewa faulo na Ayub Masoud, anapewa njano.
Dk ya 60: Mchezo umepunguza kasi kwa timu zote

Dk ya 53: Kasi ya mchezo imepungua.
Dk ya 48: Kapombe anapata pasi inakuwa ndefu na kuwahiwa na kipa wa Ndanda.
Dk ya 47|: Simba wameanza kwa kasi.
Kipindi cha pili kinaanza.
Mapumziko
Dk ya 45 + 3: Kipindi cha kwanza kimekalika.
Dk ya 45: Zinaonyeshwa dakika tatu za nyongeza.
Dk ya 45: Ndanda wanapata faulo nje ya eneo la 18.
Dk ya 44: Simba wanafika tena langoni mwa Ndanda lakini wanakosa umakini.
Walinzi walijua anatoa pasi lakini ghafla akapiga shuti kali.
Dk ya 42: Okwi anaipatia Simba bao kwa shuti kali.
Goooooooooooooooooooo!!!
Dk ya 38: Shomari Kapombe anapiga kona, kipa anaokolewa.
Dk ya 37: Simba wanapata kona, beki Willian Luciana wa Ndanda anaumia akimkaba Okwi.
Dk ya 36: Okwi anajaribu kuwatoka walinzi wa Ndanda wanakuwa makini kumdhibiti.
Dk ya 30: Simba wanapata kona.
Dk ya 29: Mchezo umesimama kwa muda kipa wa Ndanda kaumia.
Dk ya 27: Okwi anapiga shuti linapanguliwa na kipa inakuwa kona.
Dk ya 26: Mpira unachezwa zaidi eneo la Ndanda.
Dk ya 25: Simba wanashambulia lango la Ndanda lakini walinzi wanakuwa makini na kuokoa.
Dk ya 20: Simba wanapata faulo karibu na lango la Ndanda, anapiga Kichuya inakuwa kona.
Dk ya 18: Ndanda wanapata kona, inapigwa inaokolewa. Dk ya 10: Ndanda wanaonysha kuwa imara na wanapiga pasi kadhaa.
Dk ya 5: Kichuya anapata nafasi ya kupiga kona anashindwa.
Dk ya 3: Simba wanapata kona, inapigwa lakini Ndanda wanaokoa.
Dk ya 2 Simba wananza kwa kujiamini.
Mchezo umeanza.
Timu zimeshaingia uwanjani kwa ajili ya kuanza mchezo.
Simba inaingia uwanjani kukipiga dhidi ya Ndanda FC katika mchezo wa Ligi Kuu Bara kwenye Uwanja wa Taifa.
Kikosi cha Simba kitakachoanza dhidi ya Ndanda FC, mchezo wa Ligi Kuu Bara
1. Aishi Manula
2. Nicholas Gyan
3. Asante Kwasi
4. James Kotei
5. Yusuph Mlipili
6. Erasto Nyoni
7. Shomary Kapombe
8. Jonas Mkude
9. John Bocco
10. Emmanuel Okwi
11. Shiza Kichuya
Kikosi cha akiba
12. Said Mohamed
13. Hussein Mohamed
14. Paul Bukaba
15. Mzamiru Yassin
16. Said Ndemla
17. Rashid Juma
18. Laudit Mavugo
Watapona kweli Wanakuchere?
ReplyDelete