May 5, 2018



Na George Mganga

Msanii nyota wa Bongo Flavor nchini, Ali Kiba maarufu kama King Kiba, ameufanyia majaribio wimbo mpya wa msanii mwenzake Ommy Dimpoz aliye chini ya leo yake, RockStarAfrica.

Kiba ameufanyia majaribio wimbo mpya wa Yanje ambao Dimpoz ameuachia hivi karibuni akiwa amemshirikisha Mwanadada Seyi Sheyi kutoka Nigeria.

Alikiba yuko Kenya akijiandaa na tamasha la Muziki ambalo linadhaminiwa na Kampuni ya Mawasiliano nchini humo, Safaricom.

Tazama video hapa namna Kiba alivyokuwa anaimba wimbo huo.






0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic