DAVIDO ASHINDA TUZO YA BET 2018 -VIDEO
Msanii kutoka nchini Nigeria ambaye pia ni ‘hitmaker’ wa nyimbo za If na Fall, Davido, usiku wa kuamkia leo amechukua tuzo ya Msanii Bora wa Kimataifa (The Best International Act Award) na kuwashinda wasanii 10 aliokuwa anashindana nao ambao ni Cassper Nyovest (SA), Fally Ipupa (Dr. Congo), Tiwa Savage (Nigeria), Dadju (France), Distruction Boyz (SA), J Hus (UK), Niska (France), Stefflon Don (UK) na Stormzy (UK).
0 COMMENTS:
Post a Comment