June 30, 2018

Morgan Herittage Ni moja ya kundi kongwe linaloimba Muziki wa Reggae na aina nyingine kama hizo kutoka nchini Jamaica
Tunakumbuka Msanii Diamond Platnumz Alifanya Collabo na Kundi Hilo katika wimbo wa Hallelujah ambao ulifanya Vizuri katika soko la muziki especially Africa Masahriki na Afrika kwa ujumla. Sasa kama shabiki Wa Diamond Tarajia Collabo nyingine kutoka kwa Diamond Platnumz na kundi hilo linalofanya Vizuri katika Tasnia ya muziki Duniani Kupitia kwenye Ukurasa wa Morgan heritage kwenye Instagram walipost picha wako na Diamond Platnumz Studio halafu kwenye Caption Wakaandika Diamond ambaye kwa sasa anatembea nchi mbali mbali kwenye tour yake inayojulikana kama A boy From Tandale kwa kufanya Show katika Nchi mbali mbali

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic