June 7, 2018




Na Mwandishi Wetu, Nakuru
Kikosi cha Simba kinaendelea kupambana katika mechi ya nusu fainali ya Kombe la SportsPesa Super Cup.


Kwa sasa ni MAPUMZIKO lakini inaonekana mechi haijapata mbabe.

Simba inaivaa Kakamega Homeboyz ya Kenya katika Uwanja wa Afrah mjini hapa. 

Hadi sasa dakika ya 40, matokeo yakiwa bado ni 0-0 kulikuwa na mashambulizi ya pande zote, kila upande ukijitahidi kupata bao la mapema.


Kila timu inashambulia kwa kasi na kila upande unaonekana umepania kushinda na kwenda fainali.

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic