June 7, 2018



Kikosi cha Simba kinaendelea kupambana katika mechi ya nusu fainali ya Kombe la SportsPesa Super Cup.

Mshambuliaji wake mpya, Adam Salamba ni kati ya wachezaji walio benchi na hii ni mara ya kwanza kwake kuwa katika kikosi cha timu hiyo ikicheza mechi mjini Nakuru dhidi ya Kakamega Homeboyz.

Salamba amejiunga na Simba akitokea Lipuli ya Iringa na alijiunga na timu hiyo mjini Nakuru, jana.

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic