MTIBWA YAIPOKA SIMBA UBINGWA UHAI CUP, YAITWANGA STAND 1-0
Mtibwa Sugar wamefanikiwa kuipoka Simba ubingwa wa michuano ya Uhai CUP baada ya kuibuka na ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Stand United.
Stand wamechukua taji hilo ambalo lilikuwa linatetewa na aliyekuwa bingwa mtetezi, Simba SC ya jijini Dar es Salaam.
Mtibwa wamefanikiwa kutwaa kombe hilo kwa mara ya kwanza tangu kuazishwa kwake kupitia udhamini wa Maji ua kunywa ya Uhai.
Singida nao baada ya kupoteza wanakuwa wanaambulia nafasi ya pili kwenye mashindano hayo yaliyokuwa yanatimua vumbi kwenye Uwanja wa Chuo kikuu jijini Dodoma (UDOM).
We mwandishi mbona hueleweki? mara Kichwa cha habari mtibwa kaipoka kombe samba,ndani stand kachukua ubingwa mwisho wa habari unatuambia Singida mshindi wa pilipili which is which?????
ReplyDelete