June 7, 2018






Mabingwa wa soka Tanzania, Simba wamefuzu kucheza fainali ya SportPesa Super Cup baada ya kuichapa Kakamega Homeboyz kwa mikwaju 5-4.

Mechi hiyo iliisha kwa sare ya bao 0-0 katika hatua ya dakika 90 za kawaida.

Baada ya hapo ikawa ni mikwaju ya penalti na wachezaji wote watano wa Simba walifunga wakiongozwa na Jonas Mkude ambaye alifunga penalti ya mwisho.



WALIOPATA PENALTI SIMBA;
Niyonzima PATA
Nyoni PATA
Kapombe PATA
Kichuya PATA

2 COMMENTS:

  1. Safi hasa ukichukulia Simba bila ya wachezaji wake waandamizi takribani wanne Asante kwasi, james kotei,Okwi, John Boko,Nichokas gayan, Juko Murshidi. Inatia moyo kuona Simba inayoundwa na wachezaji wengi wazawa wakiwa na moyo wa kupambana kwa ajili ya timu yao.

    ReplyDelete
  2. Simba on fire bring here our trophy

    ReplyDelete

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic