June 17, 2018



Wakati wa mechi za Kombe la Dunia wachezaji wa timu ya taifa ya soka ya England, Three Lions wameandaliwa suruali maalum zenye joto.

Watazivaa katika mechi yao ya kwanza ya Kombe la Dunia kesho wakiivaa Tunisia ili kuwaepusha na majeraha ya misuli.

Imeeleza huo ni uamuzi wa daktari wao kwa kuwa wanabadili hali ya hewa baada ya kujifua katika hewa yenye nyuzi joto 12 lakini wataivaa Tunisia katika nyuzi joto 33.
Suruali hizo zenye betri maalum kuongeza joto zilifanyiwa majaribio kwenye Chuo Kikuu Loughborough mwaka 2012.

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic