LEO Septemba 12, Yanga itawakaribisha Mbeya City Uwanja wa Mkapa majira ya saa 1:00 kwenye mchezo wa Ligi Kuu Bara.
Hiki hapa kikosi cha Yanga kikosi kitakachoanza leo dhidi ya Mbeya City
.
1. Metacha Mnata.
2. Shomari Kibwana.
3. Mustapha Yasin.
4. Lamine Moro.
5.Bakari Mwamnyeto.
6. Tonombe Mukoko.
7. Deus Kaseke.
8. Feisal Salum.
9. Michael Sarpong.
10.Haruna Niyonzima.
11.Tusila Kisinda.
Wachezaji wa akiba
Kabwili
Makapu
Mauya
Carlinhos
Sogne
Adeyum
Nchimbi
Kikosi kizuri tu, Mungu awe nasi
ReplyDeleteFaridi na ninja wako wap
ReplyDeleteKaseke ajitahidi kumalizia vizuri nafasi za wazi vinginevyo benchi litamhusu
ReplyDeleteSema mi ningependa pia waziri Jr angejumuishwa tuone uwezo wake
ReplyDeleteKwhy sisi Mbeya city hatuwekewi kikosi si ndio?
ReplyDeleteMbeya city hawamwez Yanga japo mi Simba
ReplyDelete