July 6, 2018


Meneja Duka la Airtel Moroko Celine Njuju akikabidhi zawadi ya Simu kwa Emmanuel Mrema, baada ya kuibuka mshindi wa AMSHA AMSHA USHINDE NA AIRTEL MONEY, kulia ni Meneja Uhusiano wa Sportpesa, Sabrina Msuya , Kushiriki, mteja wa Airtel atatakiwa kupiga *150*60# kisha kutuma pesa kwenye akaunti ya SportPesa namba 150888 kisha kuweza kubashiri. hafla hiyo imefanyika jana jijin Dar es Salaam 


0 COMMENTS:

Post a Comment

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV