July 6, 2018


Timu ya taifa ya Ufaransa imeondolewa katika michuano ya Kombe la Dunia kwa kukubali kipigo cha mabao 2-0 kutoka kwa Ufaransa.

Mchezo huo wa kwanza wa hatua ya robo fainali umemalizika kwa Ufaransa kujipatia mabao hayo kupitia kwa Raphale Varane na Antoine Griezmann.

Matokeo hayo yanaifanya Ufansa kuipa tiketi Uruguay kuyaaga mashindano hayo ambayo ilitinga hatua hiyo baada ya ushindi wa mabao 2-1 dhidi ya Ureno.

Baada ya mchezo huo, baadaye kutakuwa na mechi nyingine baina ya Brazil na Ujerumani kuanzia saa 3 kamili usiku huu.

3 COMMENTS:

 1. This comment has been removed by the author.

  ReplyDelete
 2. Muwe mnapitia post zenu kabla ya kuposti.
  "Timu ya taifa ya Ufaransa imeondolewa katika michuano ya Kombe la Dunia kwa kukubali kipigo cha mabao 2-0 kutoka kwa Ufaransa.

  ReplyDelete
 3. Maajabu mnatuwekea humu kwa sababu mnasema timu iliyofungwa ni Ufaransa na Timu iliyomfunga ufaransa ni ufaransa mimi nashindwa kuwaelewa kwann hamku-edit kabla ya kupost humu na hata kuhariri hamtaki hadi sasa .Ongezeni utalam

  ReplyDelete

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV